Kwa
wale mlioniuliza jinsi ya kupangilia haya mazoezi katika siku yako, nitakuwa natoa ratiba ya mazoezi kila wiki. Kwa maelezo zaidi ya kila zoezi angalia katika
maada zilizopita.
Maelezo ya jinsi ya kuyafanya haya mazoezi na umuhimu wake:
Hii ratiba ni ya wiki ya tatu kama wewe ndio kwanza unaanza rudi katika maada zilizopita na anza kwa kufanya mazoezi ya wiki zilizopita. Nitawapa ratiba nyingine wiki ijayo kuongeza challenge kidogo katika mazoezi.
Mazoezi kwa mama Mjamzito Wiki ya Tatu:
No comments:
Post a Comment