Kwa
wale mlioniuliza jinsi ya kupangilia mazoezi maalum kwa mama mjamzito katika siku yako,
nitakuwa natoa ratiba ya mazoezi kila wiki. Kwa maelezo zaidi ya kila
zoezi angalia katika
maada zilizopita.
Maelezo ya jinsi ya kuyafanya haya mazoezi na umuhimu wake pamoja na ratiba ya mazoezi kwa wiki zilizopita:
Pamoja na mazoezi ni vizuri pia uzingatie lishe bora kwa afya yako na mtoto kama tulivyoongelea katika maada za nyuma.
Mazoezi kwa mama Mjamzito Wiki ya Tano:
No comments:
Post a Comment