Monday, May 21, 2012

Mazoezi kwa mama mjamzito wiki ya Sita

Kwa wale mlioniuliza jinsi ya kupangilia mazoezi maalum kwa mama mjamzito katika siku yako, nitakuwa natoa ratiba ya mazoezi kila wiki. Kwa maelezo zaidi ya kila zoezi angalia katika maada zilizopita. 
Maelezo ya jinsi ya kuyafanya haya mazoezi na umuhimu wake pamoja na ratiba ya mazoezi kwa wiki zilizopita:

 
Hii ratiba ni ya wiki ya sita kama wewe ndio kwanza unaanza rudi katika maada zilizopita na anza kwa kufanya mazoezi ya wiki zilizopita. Nitawapa ratiba nyingine wiki ijayo kuongeza challenge kidogo katika mazoezi.

Pamoja na mazoezi ni vizuri pia uzingatie lishe bora kwa afya yako na mtoto kama tulivyoongelea katika maada za nyuma. 

Mazoezi kwa mama Mjamzito Wiki ya Sita:

No comments:

Post a Comment