Sunday, April 15, 2012

Miezi mitatu na nusu ya ujauzito na ukuaji wa mtoto

Wakati mwanamke anaujauzito wa miezi mitatu na nusu (3 1/2) au wiki kumi na nne (14) mtoto anaendelea hivi:

- mtoto atakuwa na ukubwa wa inchi takribani 3 na uzito wa 1oz.
- Viungo vyote vya mwili vimeshatengenezwa na vipo ikiwa pamoja na moyo na nervous system.
- Moyo unaanza kudunda siku 21 baada ya kupata mimba.

mtoto baada ya miezi mitatu na nusu au wiki 14

No comments:

Post a Comment